Dele Alli akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Tottenham Hotspur dakika za 62 na 66 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Chelsea usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge, London kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la Spurs likifungwa na Christian Eriksen dakika ya 45 na ushei wakati la Chelsea lilifungwa na Alvaro Morata dakika ya 30 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
UFC 328 video: Yaroslav Amosov dominates grappling, taps Joel Alvarez
-
Yaroslav Amosov's grappling game was simply too much for Joel Alvarez to
handle on the prelims of UFC 328.
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment