SIMBA SC NA JS SAOURA KATIKA PICHA LEO UWANJA WA TAIFA
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akipasua katikati ya wachezaji wa JS Saoura katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-0.
Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi (kulia) akimtoka beki wa JS Saoura, Imadeddine Boubekeur
Kiungo Mzambia wa Simba SC, Clatous Chama akimtoka beki wa JS Saoura, Ibrahim Bekakchi
Beki Mghana wa Simba SC, Nicholas Gyan akipiga shuti mbele ya wachezaji wa JS Saoura
Beki Muivory Coast wa Simba SC, Serge Wawa Pascal akiondoka na mpira mbele ya kiungo wa JS Saoura, Ziri Hammar
Nahodha wa Simba SC, John Bocco akimtoka beki wa JS Saoura
Kiungo wa Simba SC, Hassan Dilunga 'HD' akimdhibiti beki wa JS Saoura, Nacereddine Khoualed
Mgeni rasmi, Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson akiwa na mfanyabiashara na mwanahisa mkuu wa Simba SC, Mohamed Dewji leo Uwanja wa Taida
Kikosi cha JS Saoura kabla ya mchezo na Simba SC leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
Kikosi cha Simba SC kabla ya mchezo na JS Saoura leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment