Michy Batshuayi akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la nne dakika ya 89 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Southampton leo Uwanja wa St. Mary's, Hampshire. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Tammy Abraham dakika ya 24, Mason Mount dakika ya 17 na N'Golo Kanté 40, wakati la Southampton limefungwa na Danny Ings dakika ya 30 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The heartbreaking reality of these images as Hawthorn celebrate the 10-year
anniversary of its famous threepeat
-
Hawthorn's golden era was honoured on Friday night, but one iconic name was
missing from the celebrations
40 minutes ago
0 comments:
Post a Comment