Wachezaji wa Manchester United wakipongezana kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Norwich City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Carrow Road, mabao ya Scott McTominay dakika ya 21, Marcus Rashford dakika ya 30 na Anthony Martial dakika ya 73 dhidi ya moja la Onel Hernandez dakika ya 88. Kikosi cha Ole Gunnar Solskjaer kingeondoka na ushindi mkubwa zaidi kama si Rashford na Martial kukosa penalti 29 na 44 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Former college and NFL coach Derek Dooley joins Senate race in Georgia
-
A former college and NFL coach has announced a shock move into politics as
he joined the Senate race in Georgia. He was previously the head coach of
the Un...
38 minutes ago
0 comments:
Post a Comment