Cristiano Ronaldo akiifungia Ureno bao la kufutia machozi kwa penalti dakika ya 72 baada ya Stepanenko wa Ukraine kuunawa mpira kwenye mchezo wa Kundi B kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa NSK Olimpiki mjini Kiev, hilo likiwa nao lake la 700 tangu aanze soka. Ukraine ilishinda 2-0, mabao yake yakifungwa na Roman Yaremchuk dakika ya sita na Andriy Yarmolenko dakika ya 27 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tuesday, October 15, 2019
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment