KILIMANJARO QUEENS WAKIPASHA UFUKWENI LEO KUJIANDAA NA KOMBE LA CECAFA CHALLENGE
Kocha Bakari Shime (kulia) akioongoza mazoezi ya timu ya wanawake ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens ufukwe wa bahari ya Hindi mjini Dar es Salaam leo kujiandaa na michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA Challenge Wanawake) inayotarajiwa kuanza Novemba 16 hadi 28 mwaka huu mjini Dar es Salaam.
Muhammadu Indimi lives large in the lap of luxury
-
By Funsho Arogundade There is no gainsaying that billionaire tycoon, Dr.
Muhammadu Indimi has a wondrous taste. Over the years, the Borno State-born
bu...
0 comments:
Post a Comment