KIKOSI CHA SIMBA SC CHAREJEA DAR BAADA YA ZIARA YA MECHI MBILI ZA KIRAFIKI KIGOMA
Kipa Aishi Salum Manula akiwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere leo kutoka Kigoma walipokwenda kwa ajili ya mechi za kirafiki dhidi ya wenyeji Mashujaa FC na Aigle Noir ya Burundi
Beki Muivory Coast, Serge Pascal Wawa akirejea kishujaa baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Mashujaa na sare ya 0-0 na Aigle Noir
0 comments:
Post a Comment