Wachezaji wa Uturuki wakipiga saluti kushangilia bao la kusawazisha lililofungwa na Kaan Ayhan dakika ya 81 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Ufaransa waliotangulia kwa bao la Olivier Giroud dakika ya 76 kwenye mchezo wa Kundi H kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Stade de France mjini Paris PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tuesday, October 15, 2019
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment