Nicolas Pepe usiku wa jana amefunga mabao mawili kwa mashuti ya mpira wa adhabu dakika ya 80 na 90 na ushei na kuiwezesha Arsenal kutoka nyuma na kushinda 3-2 dhidi ya Vitoria Guimaraes kwenye mchezo wa Kundi F UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Emirates mjini London. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Gabriel Martinelli dakika ya 32, wakati ya Vitoria Guimaraes yalifungwa na Marcus Edwards dakika ya nane na Bruno Duarte dakika ya 36 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Former college and NFL coach Derek Dooley joins Senate race in Georgia
-
A former college and NFL coach has announced a shock move into politics as
he joined the Senate race in Georgia. He was previously the head coach of
the Un...
14 minutes ago
0 comments:
Post a Comment