Antonio Candreva akikimbia kushangilia kifua wazi baada ya kuifungia Inter Milan bao la pili dakika ya 89 kufuatia Lautaro Martinez kufunga la kwanza dakika ya 22 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Borussia Dortmund kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Thursday, October 24, 2019
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment