MADENGE AKIKABIDHIWA ZAWADI ZAKE ZA UCHEZAJI BORA WA LIGI KUU MWEZI SEPTEMBA
Meneja Masoko wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Aaron Nyanda akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh. Milioni mshambuliaji wa Simba SC, Miraj Athumani 'Madenge' leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam baada ya kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania mwezi Septemba
0 comments:
Post a Comment