RONALDO AFUNGA BAO LA 700 JUVENTUS IKIICHAPA BOLOGNA 3-0 SERIE A
Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Juventus dakika ya 19 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Bologna usiku wa jana kwenye mchezo wa Serie A Uwanja wa Allianz mjini Torino, hilo likiwa bao lake la 700 tangu aanze soka ya kulipwa. Bao lingine la Juventus lilifungwa na Miralem Pjanic dakika ya 54 wakati la Bologna lilifungwa na Danilo dakika ya 26PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment