MSHAMBULIAJI Cristiano Ronaldo akishangilia kibabe baada ya kuifungia Ureno bao la pili dakika ya 65, likiwa 699 jumla kwake kufunga pamoja na mechi za klabu katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Luxembourg usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi B kufuzu Euro 2020. Mabao mengine ya Ureno yalifungwa na Bernardo Silva dakika ya 16 na Goncalo Guedes dakika ya 89 Uwanja wa Uwanja wa Jose Alvalade mjini Lisbon PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tinubu: New right-hand service carriageway will decongest Abuja traffic
-
Road infrastructure will attract more investors – Wike By Juliana
Taiwo-Obalonye, Abuja President Bola Tinubu, on Tuesday, officially
commissioned the ne...
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment