TAIFA STARS TAYARI WAPO RWANDA KWA AJILI YA MECHI NA AMAVUBI JUMANNE RWANDA
Kiungo mshambuliaji wa Difaa Hassan El Jadidi ya Morocco, Simon Msuva (kulia) akiwa na wachezaji wa Taifa Stars kwenye ndege kwa safari ya Kigali, nchini Rwanda kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji, Amavubi Jumatatu
Kulia ni Kocha Msaidizi, Suleiman Matola na kushoto kiungo Frank Domayo
Hapa ni baada ya timu kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali
My daughter brought me healing – Toke Makinwa
-
By John Ogunsemore Media personality, Toke Makinwa said the birth of her
child has brought her healing in ways she never imagined possible. The host
of T...
0 comments:
Post a Comment