Bondia Mmexico, Canelo Alvarez akimtazama mpinzani wake, Mrusi Sergey Kovalev mwenye umri wa miaka 36 baada ya kumuangusha chini na kupata ushindi wa Knockout (KO) raundi ya 11 asubuhi ya leo ukumbi wa MGM Grand, Grand Garden Arena mjini Las Vegas Marekani. Kwa ushindi huo, Alvarez mwenye umri wa miaka 29 anakuwa bingwa wa WBO uzito Light Heavy na kuweka rekodi ya kushinda mataji manne ya dunia katika uzito tofauti kwenye ngumi za kulipwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Matt Damon Revives Iconic Impression for All-Star ‘SNL’ Cold Open
-
Returning host Matt Damon reprised his famous role as Supreme Court Justice
Brett Kavanaugh in the latest Saturday Night Live cold open. Damon first
appear...
20 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment