MTANZANIA AMPIGA MJERUMANI KWAO NA KUTWAA TAJI LA GBC
Bondia Mtanzania Hamisi Maya (kulia) akiwa na taji lake la GBC Intercontinental uzito wa Welter baada ya kukabidhiwa kufuatia kumshinda kwa Technical Knockout (TKO) raundi ya nne mwenyeji, Piergiulio Ruhe nchini Ujerumani ambaye alikuwa hajawahi kupoteza pambano
0 comments:
Post a Comment