Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao pekee dakika ya 86 akimalizia pasi ya Luis Suarez ikiwalaza wenyeji, Atletico Madrid 1-0 Uwanja wa Wanda Metropolitano. Kwa ushindi huo, Barce imerejea kileleni mwa La Liga ikiizidi Real Madrid bao moja baada ya kufungana kwa pointi, 31 kila timu baada ya zote kucheza mechi 14 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sheff Wed players to fulfil Leicester opener
-
Sheffield Wednesday's players will fulfil their opening game of the
Championship season against Leicester City on Sunday, BBC Sport understands.
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment