Wachezaji wa timu ya wasichana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20, Tanzanite wakifuraha baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Uganda jioni ya leo Uwanja wa Star Times mjini Kampala kwenye mchezo wa marudiano kuwania tiketi za fainali za Kombe la Dunia za U20 Costa Rica na Panama. Tanzanite imeshinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Diana Msewa dakika ya 59 na Opa Clement dakika ya 68, baada ya Phiona Nabbumba kuanza kuwafungia wenyeji dakika ya 48. Tanzania inasonga mbela kwa ushindi wa jumla wa 4-2 kufuata kushinda 2-1 pia nyumbani mwezi uliopita na sasa itamenyana na mshindi wa jumla kati ya Sierra Leone na Senegal, mechi ya kwanza Machi 20 ugenini na marudiano Machi 27 nyumbani.
Wally Lewis reveals footy legend Sam Backo's final wish before he died aged
64
-
Lewis played alongside Sam Backo in State of Origin and for the Kangaroos.
He got to visit the former prop shortly before he passed away last Sunday.
23 minutes ago
0 comments:
Post a Comment