AWAMU YA PILI YA UKARABATI WA UWANJA WA AZAM COMPLEX YAANZA KWA KASI CHAMAZI, SASA NI MAJUKWAA
Baada ya ukarabati wa sehemu ya kuchezea (pitch) kukamilika vizuri, sasa Azam FC imeanza rasmi kukarabati majukwaa ya mashabiki kwenye Uwanja wake wa Azam Complex, uliopo Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam
Mafundi tayari wameanza kutoa mbao zilizochakaa kwenye majukwaa yote ndani ya Azam Complex, kabla ya kumalizia na zoezi la kuweka mbao mpya katika sehemu za kukalia za mashabiki
Mafundi wakitoa mbao zilizochakaa kwenye majukwaa ya Azam Complex ili waweke mpya
Item Reviewed: AWAMU YA PILI YA UKARABATI WA UWANJA WA AZAM COMPLEX YAANZA KWA KASI CHAMAZI, SASA NI MAJUKWAA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment