'TANZANIA ONE' AISHI SALUM MANULA ANAVYOENDELEA KUJIIMARISHA KWA MAZOEZI YA NGUVU AENDELEE KUNG'ARA SIMBA SC
Kipa namba wa Simba SC na timu ya taifa ya Tanzania, Aishi Salum Manula akifanya mazoezi binafsi kujiweka fiti zaidi kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi ya pamoja kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
0 comments:
Post a Comment