Wachezaji wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, beki wa Yanga, Juma Abdul (kulia) na kiungo wa Simba SC, Mohamed Ibrahim 'Mo' (kushoto) anayecheza kwa mkopo Namungo FC wakifanya mazoezi Uwanja wa Mwalimu Nyerere, Magomeni Kagera, Dar es Salaam kipindi hiki ligi hiyo imesimama kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
22 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment