KAPTENI WA YANGA SC, PAPY KABAMBA TSHISHIMBI AKIJIFUA NYUMBANI KUJIWEKA FITI ZAIDI AENDELEE KUTAMBA JANGWANI
Nahodha wa Yanga SC, Papy Kabamba Tshishimbi akifanya mazoezi binafsi nyumbani kwake kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi ya vikosi vyake kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
0 comments:
Post a Comment