KIPA WA YANGA SC, METACHA BONIPHACE MNATA AKIWA TAYARI KWA MAZOEZI BINAFSI KUJIWEKA FITI ZAIDI
Kipa wa Yanga SC, Metacha Boniphace Mnata akiwa tayar kwa mazoezi binafsi leo kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi ya pamoja kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
Item Reviewed: KIPA WA YANGA SC, METACHA BONIPHACE MNATA AKIWA TAYARI KWA MAZOEZI BINAFSI KUJIWEKA FITI ZAIDI
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment