Wachezaji wa Bayern Munich wakishangilia ushindi wao wa 5-2 dhidi ya Frankfurt katika mchezo wa Bundesliga, mabao ya Leon Goretzka dakika ya 17, Thomas Muller dakika ya 41, Robert Lewandowski dakika ya 46, Alphonso Davies dakika ya 61 na Martin Hinteregger aliyejifunga dakika ya 74 ambaye pia alifunga mabao yote ya timu yake dakika za 52 na 55. Kwa ushindi huo, Bayern Munich inaendelea kuongoza Bundesliga kwa pointi nne zaidi ya Borussia Dortmund (61-57) baada ya tmu zote kucheza mechi 27 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Revealed: Why the AFL doesn't want you to know who this mystery man is
-
The top brass at AFL headquarters won't be impressed after the reason for
the man's presence at several games was revealed on TV on Monday night.
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment