Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Emmanuel Ulimwengu akifanya mazoezi peke yake nyumbani kwake Jijini Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kipindi hiki klabu yake, TP Mazembe imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
James McClean confirms he DID throw a punch at Cardiff fan...and reveals why
-
Wrexham star James McClean has confirmed he threw a punch at a Cardiff fan
in self-defence before last week's all-Wales encounter in the Carabao Cup.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment