BEKI ANDREW VINCENT CHIKUPE AU 'DANTE' AKIJIFUA NA RAFIKI ZAKE KUJIWEKA FITI AREJEE NA MOTO WAKE YANGA SC
Beki wa Yanga SC, Andrew Vincent Chikupe 'Dante' akiwa mazoezini na rafiki zake Jijini Dar es Salaam kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
Item Reviewed: BEKI ANDREW VINCENT CHIKUPE AU 'DANTE' AKIJIFUA NA RAFIKI ZAKE KUJIWEKA FITI AREJEE NA MOTO WAKE YANGA SC
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment