Joshua Kimmich akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich bao pekee dakika ya 43 ikiwalaza wenyeji, Borussia Dortmund 1-0 kwenye mchezo wa Bundesliga Uwanja wa Signal-Iduna-Park Jijini Dortmund jana. Ushindi huo unawafanya Bayern Munich waongoze Bundesliga kwa pointi saba zaidi ya Dortmund zikiwa zimesala mechi sita hivyo kukaribia kutwaa taji la nane mfululizo la ligi hiyo
Star NFL rookie reveals surprising way he plans to spend his
record-breaking $53m first contract
-
The highly-rated Love was selected No. 3 overall by the Cardinals out of
Notre Dame in last month's NFL Draft and on Friday he formally signed his
four-yea...
12 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment