Bondia mstaafu, Mike Tyson mwenye umri wa miaka 53 (kushoto) akiwa gym kujijndaa kurejea uliangoni tangu alipopigana kwa mara ya mwisho Juni 11, mwaka 2005 na kushindwa kwa pinti na Kevin McBride ukumbi wa MCI Center Jijini Washington. Promota wa ngumi Jijini Melbourne, Brian Amatruda amempa Tyson ya kurudi ulingoni kwa pambano na gwji wa Rugby, Sonny Bill Williams nchini Australia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
14 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment