KIPA MKONGWE, JUMA KASEJA AKIJIFUA NA BEKI WA TIMU YA WANAWAKE YA SIMBA SC, FATUMA ISSA 'DENSA' UFUKWENI
Kipa wa KMC ya Kinondoni, Juma Kaseja akiwa mazoezini na beki wa timu ya wanawake ya Simba, Fatuma Issa 'Densa' ufukweni mwa Bahari ya Hindi, Dar es Salaam kipindi hiki klabu zao zimesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
Item Reviewed: KIPA MKONGWE, JUMA KASEJA AKIJIFUA NA BEKI WA TIMU YA WANAWAKE YA SIMBA SC, FATUMA ISSA 'DENSA' UFUKWENI
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment