Nyota wa Coastal Union ya Tanga, kipa Hussein Sharrif 'Casillas' (kulia) na mshambuliaji Ayoub Lyanga wakiwa tayari kwa mazoezi binafsi ufukweni Jijini Dar ea Salaam leo kipindi hiki klabu yao imesitisha mazoezi ya pamoja kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
19 minutes ago
0 comments:
Post a Comment