KIUNGO NYOTA WA SIMBA SC, CLATOUS CHAMA AKIWA MWENYE FURAHA KABISA NYUMBANI KWAO ZAMBIA
Kiungo Mzambia wa Simba SC, Clatous Chama ameposti picha hii akiwa mwenye furaha nyumbani kwao kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
0 comments:
Post a Comment