Kiungo wa Tottenham Hotspur, Christian Eriksen akiteleza chini Uwanja wa White Hart Lane kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili timu yake katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Sunderland leo. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Mousa Dembele na Harry Kane kwa penalti, wakati la Sunderland limefungwa na Patrick van Aanholt PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Arsenal XI vs West Ham: Predicted lineup, confirmed team news, injury
latest for Premier League
-
Gunners face their trickiest test of their final three games
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment