SERENGETI BOYS NA KONGO BRAZAVILLE KATIKA PICHA JANA TAIFA
Kiungo wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, Mohammed Rashid Abdallah akipasua katikati ya wachezaji wa Kongo- Brazaville katika mchezo wa kwanza hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania tiketi ya fainali za U-17 Afrika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Serengeti ilishinda 3-2
Kiungo wa Serengeti Boys, Asad Ali Juma akimtoka beki wa Kongo-Brazaville, Ntota Gedeon
Mshambuliaji wa Serengeti Boys, Yohana Oscar Nkomola akiwatokai wa Kongo- Brazaville
Beki wa Serengeti Boys, Israel Patrick Mwenda akimtoka beki wa Kongo-Brazaville, Ntota Gedeon
Kiungo wa Serengeti Boys, Ibrahim Abdallah Ali (kushoto) akiwania mpira dhidi ya Ngumbi Exau wa Kongo- Brazaville
Wachezaji wa vikosi vya timu zote mbili wakiingia uwanjani jana
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment