Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia huku ameziba uso wake kwa mask baada ya kuifungia bao la kuongoza Borussia Dortmund dakika ya 53, kabla ya Thilo Kehrer kuisawazishia Schalke 04 dakika ya 77 timu hizo zikitoka sare ya 1-1 katika mchezo wa Bundesliga Uwanja wa VELTINS-Arena, Gelsenkirchen PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sunday, April 02, 2017
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment