YUSSUF MACHO ‘MUSSO’ MASHINE NYINGINE YA HATARI KUWAHI KUTOKEA BONGO
Kiungo wa Yanga, Yussuf Macho ‘Musso’ akiwa na wachezaji wa Waziri Mkuu Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kabla ya mchezo wa Ligi Kuu Safari Lager mwaka 1996. Kushoto ni Thomas Karume ambaye baadye alijiunga na Simba mwaka 1999 kabla ya kufukuzwa kwa kashfa ya ushoga, ambayo mwenyewe aliikana baadaye
0 comments:
Post a Comment