Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Manchester City kwa penalti dakika ya 30 baada ya Nick Pope kumchezea rafu Bernardo Silva wakiichapa 3-0 Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Hilo ni bao la 177 kwa Aguero Man City, maana yake ameifikia rekodi ya Eric Brook aliyoweka miaka ya 1930. Mabao mengine ya City yamefungwa na Nicolas Otamendi dakika ya 73 na Leroy Sane dakika ya 75 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Half-price haircut ‘if your mom is dead’: Regina woman reclaims Mother’s Day
-
Avery Mytopher says Mother’s Day became a painful experience after she lost
her mom to lung cancer. Now the Regina hair stylist is offering 50 per cent
off...
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment