SHABIKI HUYU WA KIKE WA NJOMBE MJI HANA HAMU TENA NA SIMBA!
Shabiki wa kike wa Njombe Mji akifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu yake na wenyeji, Simba SC kwa huzuni Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam leo. Njombe imefungwa 4-0
0 comments:
Post a Comment