Kocha wa Chelsea, Antonio Conte akizungumza na mshambuliaji wake mpya, Mfaransa Olivier Giroud aliyemsajili kutoka Arsenal wakati wa mazoezi ya leo kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Watford Jumatatu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Friday, February 02, 2018
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment