Wachezaji wa PSG wakishangilia baada ya ushindi wa 7-1 dhidi ya Monaco jana Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris uliowahakikishia taji la ubingwa wa Ligi Kuu ya Ufaransa, maarufu kama Ligue 1. Mabao ya Monaco jana yalifungwa na Giovani Lo Celso, Angel Di Maria kila mmoja mawili, Edinson Cavani, Radamel Falcao aliyejifunga na Julian Draxler, wakati la Monaco lilifungwa na Rony Lopes PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Arsenal XI vs West Ham: Predicted lineup, confirmed team news, injury
latest for Premier League
-
Gunners face their trickiest test of their final three games
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment