Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kusawazisha dakika ya 64 katika sare ya 2-2 na Valencia usiku huu kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Messi pia alifunga bao la kwanza la Barcelona kwa penalti dakika ya 39, kabla ya Valencia kusawazisha kupitia kwa Kevin Gameiro dakika ya 24 na kufunga la pili kupitia kwa Dani Parejo kwa penalti dakika ya 32 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Giants ace Logan Webb goes on 15-day IL with right knee bursitis, ending
consecutive start streak
-
Webb has made 156 consecutive starts for the Giants, dating back to 2021.
8 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment