Memphis Depay akishangilia baada ya kuifungia Uholanzi mabao mawili dakika za 80 na 90 na ushei la tatu kwenye ushindi wa 3-1 dhidi ya Ireland ya Kaskazini kwenye mchezo wa Kund C kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Feijenoord mjn Rotterdam. Bao la pili la Uholanzi lilifungwa na Frenkie de Jong dakika ya 90 na ushei, wakati la Ireland limefungwa na Josh Magennis dakika ya 75 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Oklahoma City Thunder are NBA champions. They might just be getting started.
-
It's difficult to build a dynasty in today’s NBA but, surveying the league,
the Thunder just might be in position to make it happen.
24 minutes ago
0 comments:
Post a Comment