Nahodha wa Croatia, Luka Modric akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dakika ya tano katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Hungary kwenye mchezo wa Kundi E kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Stadion Poljud mjini Split. Mabao mengine ya Croatia yamefungwa na Bruno Petkovic dakika ya 24 na 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Real Madrid: Xabi Alonso reveals FIFA investigating alleged racist abuse
aimed at Antonio Rudiger
-
Referee activated anti-racism protocols in the closing stages of the match
47 minutes ago
0 comments:
Post a Comment