Nahodha Lionel Messi akimpongeza mshambuliaji mwenzake, Luis Suarez baada ya kuifungia mabao yote mawili Barcelona dakika za 58 na 84 ikiilaza Inger Milan 2-1 usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Katika mchezo huo wa Kundi F, bao la Inter Milan lilifungwa na Lautaro MartÃnez dakika ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Strictly Come Dancing's Week One highlights, from 'miraculous' Amber Davies
to Pete Wicks cameo
-
Here's the highlights from Strictly's first live show of 2025.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment