Tammy Abraham akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza Chelsea dakika ya 19 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Lille kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Bao la pili la Chelsea lilifungwa na Cesar Azpilicueta dakika ya 35, wakati la Lille lilifungwa na Loic Remy dakika ya 78 na kwa matokeo hayo, The Blues inaungana na Valencia kufuzu hatua ya 16 Bora baada ya wote kumaliza na pointi 11 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Zelenskyy to visit Berlin for meetings ahead of Trump-Putin summit
-
BERLIN (AP) — Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy will visit Berlin on
Wednesday to join German Chancellor Friedrich Merz for talks with European
and U...
41 minutes ago
0 comments:
Post a Comment