Vinicius Junior akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la pili dakika ya 64 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Club Brugge kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Jan Breydel mjini Brugge. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Rodrygo dakika ya 53 na Luka Modric dakika ya 90 na ushei, wakati la Club Brugge lilifungwa na Hans Vanaken dakika ya 55. Real imamaliza nafasi ya pili nyuma ya PSG na zote zinakwenda hatua ya 16 Bora PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sam Kerr 'can't stop smiling' after receiving handcrafted gift for FINALLY
reaching 100 goals
-
Sam Kerr has been honoured by Chelsea with a special hand-crafted soccer
ball to mark her 100 goals for the English champions
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment