Riyad Mahrez akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 33 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Manchester United usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup. Mabao mengine ya Man City yalifungwa na Bernardo Silva dakika ya 17 na Andreas Pereira aliyejifunga dakika ya 38, wakati bao pekee la Man United lilifungwa na Marcus Rashford dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jack Grealish makes brutally-honest admission about his partying after
being exiled by Pep Guardiola: 'I wasn't helping myself'
-
After moving north to the blue side of Manchester in a £100million deal
from Aston Villa in the summer of 2021, the 30-year-old enjoyed four years
under Pe...
34 minutes ago
0 comments:
Post a Comment