Beki wa umri wa miaka 22, Mcanada Fikayo Tomori akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 64 kufuatia Mitchy Batshuayi kufunga la kwanza dakika ya sita katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Hull City ambayo bao lake lilifungwa na Kamil Grosicki dakika ya 78 kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England leo Uwanja wa KCOM PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
23 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment