Kiungo Mreno, Bruno Fernandes (kulia) akisaini mkataba wa miaka mitano na nusu kujiunga na Manchester United kutoka Sporting Lisbon ya kwao, Ureno kwa dau la Pauni Milioni 46.6, ambalo linaweza kupanda hadi Pauni Milioni 68. Kushoto ni kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer ambaye ana matumaini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 ataisaidia timu yake PICHA ZAIDI GONGA HAPA
GB's Hunt makes global mark with 200m silver
-
Great Britain's Amy Hunt announces herself on the global stage by claiming
a stunning 200m silver in her first major final at the World Championships
in To...
31 minutes ago
0 comments:
Post a Comment