MO DEWJI ALIPOMKABIDHI JEZI YA SIMBA SC RAIS WA FIFA, GIANNI INFANTINO
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohamed 'Mo' Dewji (kulia) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo, Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino makao makuu ya bodi hiyo ya kandanda Jijini Zurich, Uswisi
0 comments:
Post a Comment