Nyota wa Real Madrid, Mbrazil Vinicius Junior akiwatoka mabeki wa Real Zaragoza katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Mfalme Hispania usiku wa jana Uwanja wa De la Romareda. Mabao ya Real Madrid yalifungwa na Raphael Varane dakika ya sita, Lucas Vazquez dakika ya 32, Vinicius Junior dakika ya 72 na Karim Benzema dakika ya 79 na kwa ushindi huo kikosi cha Mfaransa, Zinedine Zidane kinatinga Robo Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tyler Tejada scores 24 as Towson defeats Loyola Maryland 67-56 in opener
                      -
                    
BALTIMORE (AP) — Tyler Tejada's 24 points helped Towson defeat Loyola 
Maryland 67-56 on Monday night in a season opener.
31 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment